Jeremiah 50:44

44 aKama simba anayepanda kutoka vichaka vya Yordani
kuja kwenye nchi ya malisho mengi,
ndivyo nitamfukuza Babeli kutoka nchi yake ghafula.
Ni nani aliye mteule,
nitakayemweka kwa ajili ya jambo hili?
Ni nani aliye kama mimi,
na ni nani awezaye kunipinga?
Tena ni mchungaji yupi
awezaye kusimama kinyume nami?”
Copyright information for SwhNEN